Amos 1:13

13 aHili ndilo asemalo Bwana:

“Kwa dhambi tatu za Amoni,
hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu.
Kwa sababu aliwatumbua wanawake wajawazito wa Gileadi
ili kuongeza mipaka yake.
Copyright information for SwhNEN